Bwana Jeremie NGENDAKUMANA pamoja na kua ni mwenyekiti wa chama cha CNDD-FDD hakuna aliemuhusisha katika mbinu za kutaka kumumalizia maisha bwana Manasse NZOBONIMPA

Ubadhirifi kutoka nyanja za juu Burundi Banki BCB mwathirika badaaye

Imetolewa 14 Februari, 2014

Tariki 28/01/2014 NIYONZIMA Alexander alikamatwa na idara ya Upelelezi ya Taifa ya Burundi kwa tuhuma za kuhusika katika tendo la ubadhirifu katika Benki . Na jina hilo Kapachikwa na kupatishwa vitambulisho ... Mengineyo

MABWANA RWASA AGATHON NA PIERRE BUYOYA WAFANYA MAZUNGUMZO KWA SIRI KUBWA

Imetolewa 24 december 2013

Mazungumzo ya taree 07 Disemba 13 lengo kubwa la Bwana Buyoya katika hayo mazungumzo ni kulaghai Bwana Rwasa kwa kumhakikishia kuwa amejiimarisha kisiasa. Kabla ya haya yote kutendeka, Bwana Rwasa alifanya mazungumzo na rais Nkurunziza mjini Ngozi... Mengineyo

ADOLPHE NSHIRIMANA MMWAGAJIDAMU MARUFUKU KUKANYAGA KWENYE ARDHI YA AMERIKA

Imetolewa 17 oktoba 2013

Mazungumzo kati ya Nicolas JENKINS na NDAYISHIMIYELDonatien, Mshauri kwenye maktaba ya idara hiyo, Jenerali Adolphe NSHIMIRIMANA amecukuliwa kama mmwagajidamu ambaye haruhusiwi kukanyaga kwenye ardhi ya Amerika... Mengineyo

PIERRE NKURUNZIZA AMEKANIYA MUHULA WA TATU KWENYE KITI CA RAISI

Imetolewa 4 oktoba 2013

Habari kutoka kwa vigogo furani vya chama CNDD-FDD zimehakikisha kwenye mtandao Burundi image kwamba Raisi Pierre NKURUNZIZA atawaniya kwa hali na mali muhula wa tatu kwenye kiti cha uraisi wa inchi... Mengineyo

EDOUARD NDUWIMANA KIINI CHA UBOVU WA MCHAKATO WA DEMOKRASIYA INCHINI BURUNDI

08-12- 2012

Bwana Leonce NGENDAKAMANA hii tarehe0 7 November 2012, kazungumza na waandishi wa habari jijini Bujumbura kwa malengo kama ilivyoonekana ya kumkemea Waziri wa Mambo ya Ndani Edouard NDUWIMANA kwa hatuwa alio chukuwa (kutokana na madai yake mwenyewe)ya kufunga barabara ya BUJUMBURA- RUMONGE, siku ya ijuma pili na kudhofisha kazi zote za waliotumia barabara hio siku hio.

Bwana Leonce NGENDAKUMANA, ambaye ni mwenye kiti wa shirikisho la vyama vya upinzani vya ADC-IKIBIRI, ameonyesha kwamba waziri huo aliliaibisha taifa kitaifa na kimataifa, alipochukuwa hatuwa hio hasa wakati huu ambapo Burundi inawajibika kutekeleza ma sharti iliopewa na wafadhili ili ipewe msada wa kuendesha shuhuli zinazolenga maendeleo ya raia. Ni lazima avuliwe uwadhifa ili kupatikane atakaye simamiya vyama vilivyo na kuweza kushirikiyana na wote ili demokrasiya iboreke inchini.Alimtaka waziri huo kusimamisha mara moja kujifanya msemaji wa ZEDI FERUZI, mwenye kiti wa zamani wa chama cha UPD -ZIGAMIBANGA aliye timka kutoka chama hicho na kujiunga na utawala kwa maslahi ya maisha ya kibinafsi. Alikumbusha kwamba mwenye kiti wa chama hicho anaetambulika ni Chauvineau MUGWENGEZO alietawazwa na kamati kuu ya chama hicho punde tuu kijana ZEDI alipotimkia ki pekee upande wa utawala huku wana chama wote wakibaki upande wa ADC-IKIBIRI. Kisa cha Edouard NDUWIMANA kililaniwa pia na wanachama wengi wa CNDD-FDD, ambao kwa upande wao, kuzuia barabara ya BUJUMBURA-RUMONGE haikuwa ni kwa faida ya CNDD-FDD, bali kwa faida ya upinzani.

Duru kutoka chama tawala zinaeleza kwamba, NDUWIMANA alionysa katika chama kutokana na kitendo hicho. Itakumbukwa kwamba barabara ya BUJUMBURA-RUMONGE iliziwiliwa na Edouard NDUWIMANA kwa madai ya kukataza shuhuli za chama cha CNDD ya Leonard NYANGOMA, kimoja katika vyama vya muungano ADC-IKIBIRI, zilizo kuwa zimeandaliwa kufanyika katika tarafa ya RUMONGE. Eduard NDUWIMANA anachukuliwa na wengi inchini hata pia katika chama tawala kama, kiini cha mfumo bora wa demokrasiya inchini Burundi.

Mohamed Rukara, masikitiko ya hasili yake ya Uswahili na vitisho kwa msaada dhidi ya Pierre Nkurunziza

Imetolewa 27 septembe 2011

,
Ombudsman maarufu inchini Burundi, Mheshimiwa Mohamed Rukara, yuko katika ziara huko Uturuki na amepitia mjini Brussels Jumatano Septemba 21, 2011... Mengineyo

“ALIONEKANA KAMA MSEMAJI WA WANACHAMA WA CNDD-FDD AMBAO PAMOJA NA WARUNDI WENGI HAWANA KAULI YA KULITETEYA TAIFA”.


Mise à jour 23 mars 2011

Mimi ni FDD wa zamani ambae ni katika waanzilishi wa harakati alisema mbunge Manasse NZOBONIMPA... Mengineyo

TANGAZO LA TAREHE 26 FEBRUARY 2011 LINALO ONYESHA MSIMAMO WA WANACHAMA WA CNDD-FDD NA HATA WARUNDI WENGI KUHUSU ULAJU RUSHWA NA UPORAJI WA MALI YA UMA NA MAOVU MENGINE YANAYO TENDEKA INCHINI.

Mise à jour 27 Février 2011

Mnamo siku zilizo pita hadi wakati huu, jami la kimataifa na warundi wengi hushuhudia mwenendo wa baadhi ya viongozi wenye nyadhifa mbali mbali serkalini na miong’oni mwao wamo wafuasi wa chama tawala wanao jihusisha na ufisadi, ulaji rushwa na uporaji wa mali ya serkali bila kujali kuwepo idara mbali mbali za kupiga vita rushwa inchini. Kuna ambao hudhani kwamba wafuasi wote wa CNDD-FDD wanaunga mkono mwenendo huwo; hiyo si kweli... Mengineyo